Bunge
Sheria ya 1984 Na.15 ib.12Madaraka ya Bunge
Sheria ya 1984 Na.15 ib.12
Sheria ya 1992 Na.4 ib.17
Sheria ya 1992 Na.20 ib.11Madaraka ya kutunga Sheria
Sheria ya 1984 Na.12 ib.12Muda wa Bunge
Sheria ya 1984 Na.15 ib.12
Kusikiliza ni rahisi zaidi kuliko kusoma. Unapokuwa unasikiliza unaweza ukawa unaendelea kufanya shughuli nyingine kwa mfano katika Kompyuta yako au katika Simu. Pia unaweza kuzichukua sauti hizi ukaziweka katika Kibebea Data (Flash Disck), Simu au CD na ukazisikiliza ukiwa unaendesha gari, umejipumzisha Nyumbani kwako au ukiwa unafanya jambo lolote lile. Ndio maana Nikaanzisha huduma hii rahisi kujifunza. NI KUBONYEZA NA KUSIKILIZA
No comments:
Post a Comment